NDANI YA NIPASHE LEO

05Sep 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Wakati wenzetu wanaandaliwa kwa gharama ili kuzipatia nchi zao medali au ushindi, sisi tunategemea bahati na kudura za Mwenyezi Mungu. Ndiyo maana tulikwenda kumpokea kwa vifijo na nderemo...
05Sep 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Ni baada ya kutandikwa nyasi bandia. Timu ya Kagera Sugar takribani misimu mitatu sasa ilikuwa ikihangaika huku na huko na kucheza mechi zote ugenini kwa kukosa uwanja. Kwa mara ya kwanza ilicheza...
05Sep 2016
Mhariri
Nipashe
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa mamlaka hiyo ya kuratibu na kusimamia mchezo wa soka kufanya mambo yanayohitaji utaalamu bila kuzingatia mahitaji husika.
Juzi shirikisho hilo lilifanya jambo lingine...

Kaimu Meneja wa Huduma, Utawala na Fedha wa Brela, Bosco Gadi.

05Sep 2016
Romana Mallya
Nipashe
Kaimu Meneja wa Huduma, Utawala na Fedha wa Brela, Bosco Gadi, alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam, wakati akielezea kuhusu uboreshaji wa huduma za ukusanyaji wa ada za wateja wao kwa njia ya...

wanachama wa red cross.

05Sep 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana kwa niaba ya wenzake, kiongozi wa wanachama hao mkoa wa Dar es Salaam, Suphian Juma, alisema ufisadi unakimaliza chama. Alisema hadi sasa majengo na...

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Richard Kayombo.

05Sep 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
kizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Richard Kayombo, alisema makusanyo hayo yametokana na mikakati mizuri waliyojiwekea....

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu mambo mbalimbali ya kisiasa nchini.

05Sep 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Aidha, huku wafuasi hao wakitawanywa na polisi, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imesema itawakutanisha Prof. Lipumba na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, kwa lengo la kuzungumza...

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba.

03Sep 2016
Peter Mkwavila
Nipashe
Nchemba alitoa ombi hilo wakati akifungua mkutano mkuu na kongamano la viongozi na wajumbe wa jumuiya kuu ya kanisa la Baptist Tanzania (BCT) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Chuo kikuu cha...
03Sep 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Mshtakiwa huyo alisomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shahidi. Wakili wa Serikali, Leonard Chalo alidai Agosti 6, mwaka huu, mshtakiwa kwa nia ovu aliwasilisha ujumbe wenye...
03Sep 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Mbwa mwenye kichaa, pamoja na dalili nyingine, hung'ata watu ovyo. Ofisa mdhamini wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi, Sihaba Haji Vuai alisema katika kipindi cha Agosti 7-21...

KATIBU Mkuu wa CUF Mhe: Maalim Seif Sharif Hamad.

03Sep 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Wakizungumza na waandishi wa habari visiwani hapa jana, wenyeviti hao walisema licha ya Baraza Kuu la CUF kuwawajibisha baadhi ya viongozi, lakini baadhi ya wanachama wanataka kukivuruga chama hicho...

Frederick Sumaye.

03Sep 2016
Romana Mallya
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana jijini Dar es Salaam, Sumaye alisema mara baada ya tatizo hilo kutokea na kutumia njia za majadiliano bila mafanikio, ameamua kufungua kesi ili kutafuta haki. Alisema...
03Sep 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe
*Mapya yaibuka ndege za Magufuli , *Ni zile zitakazoanza mwezi huu kusomba abiria 1,300 kila siku kwenye viwanja 11
Imebainika kuwa taarifa hizo njema zimeibua mengine mapya. Hivi karibuni, Serikali ilitekeleza ahadi ya Rais Magufuli ya kuihuisha ATCL aliyoitoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa Oktoba 25,...
03Sep 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Katika kuangalia nabaini hayamosi, walevi waliopo wanatosha sana kaya hii kiasi cha kugeuka mzigo kutokana na ukosefu wa huduma muhimu kama majumba, maji, skuli bora, lishe bora, mishahara fiti kwa...
03Sep 2016
Vivian Machange
Nipashe
Kama huna meza hizi ukitambua umuhimu wake utashangaa na kujisikitikia ni kwa namna gani uliweza kuishi bila kuwa nazo. Samani hizi zipo za aina mbalimbali kama kioo, plastiki au marumaru, lakini...
03Sep 2016
Rose Joseph
Nipashe
Akizungumza katika ufunguzi wa warsha ya kitaifa iliyofanyika jijini Mwanza juzi na kuandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la Usimamizi wa Mazingira na Maendeleo (Emedo), kuwajengea uwezo wadau...
03Sep 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Baadhi ya wafanyabiashara hao wamependekeza kuyazuia maduka ya kubadilishia fedha (Bureau De Change) kutobadili fedha katika kipindi cha kuziingiza noti mpya kwenye mzunguko, kwa sababu maduka hayo...
03Sep 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Kebwe Stephen Kebwe, wakati akizungumza na baadhi ya wakulima wa zao hilo la pamba katika wilaya mbalimbali za mkoa huo. Dk. Kebwe, alisema...

WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar, Dk. Khalid Salum Mohamed.

03Sep 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Akifungua kongamano la kimataifa kuhusu kinga ya amana za wateja na huduma za fedha kwa njia ya mtandao kwenye Benki Kuu (BOT) tawi la Zanzibar, waziri huyo alisema hatua hiyo ni muhimu ili nchi...

Mrisho Ngasa.

03Sep 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Mchezaji huyo amevunja rasmi mkataba wake na Free State Stars ya Afrika Kusini na kuweka wazi kwamba hafikirii kurejea katika klabu za hapa nchini...
Ngasa na Free State Stars walifikia makubaliano ya kuvunja mkataba Agosti 25 mwaka huu baada ya pande hizo mbili kushindwa kufikia muafaka. Akizungumza na Nipashe jana, Ngasa alisema kuwa...

Pages