NDANI YA NIPASHE LEO

04Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Kazimoto ambaye kwa mara ya kwanza alitua Simba akitokea JKT Ruvu, alisema jana kuwa changamoto zinazidi kuongezeka dhidi yao wakati wa lala salama kutokana na baadhi ya timu kujiimarisha ili kutwaa...
04Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Kikosi cha Muingereza Stewart Hall kilipiga kambi Zambia kushiriki michuano maalum ya kimataifa iliyomalizika jana ikishirikisha timu nne (pamoja na Zesco ya Zambia na mabingwa wa Zimbabwe, Chicken...
04Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
**Timu hiyo ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya imeshinda mechi tatu tu kati ya 16 ilizocheza msimu huu.
City inayonolewa na meja mstaafu, Abdul Mingange, inashika nafasi ya 10 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu baada ya kushinda mara tatu tu na kuambulia sare mara tano...
04Feb 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), George Simbachawene, alisema Rais John Magufuli ameridhia kuanzishwa kwa wilaya hizo pamoja na mkoa...
04Feb 2016
Nipashe
Baada ya kupata baraka za Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete. Maalim Seif Alitoa madai hayo alipokuwa akizungumzia azimio la Baraza Kuu la Uongozi la CUF...
04Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Kukamilika kwa barabara hiyo, kwa sehemu kubwa kutachangia kupunguza msongamano au foleni zilizokuwa zinakwamisha wasafiri kufika katika maeneo husika kwa mujibu wa ratiba zao. Kuwapo kwa alama za...
03Feb 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye, akautangazia umma kupitia Bunge, kisha akaungwa mkono na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwamba sehemu ‘itakayokatwa’ itarekodiwa na kurushwa...
03Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano serikalini, Kadogosa anakwenda kuchukua nafasi ya Mhandisi Elias Mshana anayestaafu hivi karibuni. Imeeleza kuwa kabla ya uteuzi...
03Feb 2016
Nipashe
Hoteli hiyo ijulikanayo kwa jina la Konokono iliyoko Michamvi, mkoa wa Kusini Unguja, inamilikiwa na watu watatu, akiwamo Amina Karume, kwa mara ya kwanza iliungua wiki iliyopita. Akizungumza na...
03Feb 2016
Nipashe
Hiyo imekuwa neema kwa wanariadha wa Tanzania na nchi nyinmgine, ambazo wanariadha wake walikuwa hawajafikia viwango vinavyotambulika na shirikisho hilo. Akizungumza na gazeti hili jana Kaimu Katibu...
03Feb 2016
Nipashe
Kocha wa sasa Louis van Gaal yuko kwenye presha kubwa ya mahitaji ya ushindi na mabadiliko ya uchezaji wa kikosi hicho na mara kadhaa amekuwa akirpotiwa kutaka kutimuliwa. Manchester City wameingia...
03Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Wachezaji hao walikuwa Lubumbasi kwa wiki kadhaa kufanya majaribio ya kucheza soka ya kulipwa na taarifa rasmi ni kwamba wamefuzu. Meneja wa wachezaji hao, Jamal Kisongo alisema jana kuwa amepokea...
03Feb 2016
Nipashe
***Duru la lala salama ligi kuu linaingia raundi ya pili, huku mabingwa watetezi wakiwa Mbeya na Msimbazi wakibaki Dar...
MABINGWA Yanga walipoteza mechi yao ya kwanza msimu huu, huku mahasimu wao, Simba wakishinda mechi ya tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara na leo vigogo hao wanashuka dimbani Mbeya na Dar es Salaam...
03Feb 2016
Nipashe
***Duru la lala salama ligi kuu linaingia raundi ya pili, huku mabingwa watetezi wakiwa Mbeya na Msimbazi wakibaki Dar...
Yanga itakuwa kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya kujaribu kutibu majeraha ya kipigo cha kushtukiza walichokipata kutoka Coastal Union ya Yanga wiki iliyopita. Simba chini ya kocha Jackson Mayanja iko...
03Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mamlaka hiyo ilipewa jukumu la kusimamia utendaji kazi kwa kuzingatia utawala bora na kutunza daftari la taifa la usajili na utambuzi wa taarifa za wahusika kwa maendeleo ya taifa. Serikali...
03Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Mwongozo huo uliowasilishwa juzi bungeni na kuainisha maeneo mbalimbali, ambayo matumizi yatadhibitiwa. Pia unaonesha mwaka ujao wa fedha, serikali imepanga kutumia Sh. trilioni 22.9 kwa matumizi ya...
03Feb 2016
Nipashe
Kadhalika, bei ya mafuta ya petroli imeshuka kwa Sh. 55, hivyo kufanya mafuta hayo kuanzia leo kuuzwa kwa bei isiyozidi Sh. 1,842 kutoka Sh. 1,898 kwa lita kama kilivyokuwa ikiuzwa mwezi uliopita...
03Feb 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Taarifa ambazo Nipashe imezipata mjini hapa jana, licha ya kuwapo kwa baadhi ya wajumbe walioomba kuhamishwa kwenye kamati walizopangiwa awali, kumekuwapo na mazungumzo kati ya Kambi ya Upinzani...
03Feb 2016
Nipashe
Vyama hivyo, kikiwamo cha CUF, ndivyo vilivyosimamisha wagombea wa nafasi za urais, uwakilishi na udiwani katika majimbo 54 Unguja na Pemba katika Uchaguzi wa Oktoba 25, mwaka jana, kabla ya matokeo...
03Feb 2016
Fredy Azzah
Nipashe
*Wampania kwenye bajeti ya kwanza ya serikali, wasema wakilazimishwa watahamasishana watoke nje ya Bunge
Wabunge hao wametahadharisha kuwa iwapo bajeti hiyo haitaonyesha mpango wowote wa kuanza kwa ujenzi huo, watahakikisha wanaikwamisha. Mwenyekiti wa umoja huo ni Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige (CCM...

Pages