NDANI YA NIPASHE LEO

Rais wa klabu ya simba, Evans Aveva.

30Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Lakini wakati ikiendelea na hesabu hizo, pia ina mkakati wa kujenga kikosi bora kabisa msimu ujao. Mkatati huo tayari umeshaanza kwa majibu wa bosi wa Mtaa wa Msimbazi. Rais wa klabu hiyo, Evans...

mashabiki wa yanga.

30Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Ligi Kuu Bara inaingia hatua muhimu leo kuelekea ukingoni kwa mechi tano katika viwanja tofauti...
Mechi ya leo ugenini ya Yanga ni kati ya michezo yake mitano ya ligi iliyobakia itakayochezwa nje ya Dar es Salaam. Inashuka uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 4-1 katika mechi wa...

Freeman Mbowe.

30Apr 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Katibu wa siasa na uenezi wa CCM mkoa wa Arusha, Shaaban Mdoe alisema upinzani wa kweli kwa sasa katika awamu ya Rais John Magufuli haupo. Mdoe alisema kwa sababu Rais Magufuli anaonekana...

Mabere Marando.

30Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Marando ambaye ni mwanaharakati wa siasa za vyama vingi na gwiji wa sheria nchini, aliugua gafla mwaka jana akiwa nyumbani kwake na kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili usiku wa kuamkia...

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa tcra Mhandisi James Kilanaba, (kushoto) akizindua, wimbo wa kuhamasisha kukagua simu kama halisi.

30Apr 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Hayo yalisemwa jana na Kaimu Mkurugenzi wa TCRA, Mahandisi James Kilaba, wakati akizungumza na waandishi wa habari jiji Dar es Salaam, kuhusu tathmini ya hali halisi kuelekea ukomo wa matumizi ya...
30Apr 2016
Mhariri
Nipashe
Kuipa ushindi Yanga kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani na kusababisha mchezo kuvunjika huku, Yanga ikiwa mbele kwa magoli 2...

sukari ikiwa katika ghala.

30Apr 2016
Kibuka Prudence
Nipashe
Lengo la uamuzi huo, imeelezwa, ni kuondoa uhaba wa sukari na kuwaondolea kero wananchi. Kwa mujibu wa Ofisa Biashara mkoa wa Karega, Isaya Tendega, uamuzi huo umefikiwa baada ya kubaini kuwa wapo...
30Apr 2016
Dege Masoli
Nipashe
Kwa mujibu wa Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Bodi hiyo nchini, Sadiki Elimsu, mashine hizo zilikamatwa katika operesheni maalumu ya kudhibiti bidhaa feki inayoendeshwa na Bodi hiyo nchi nzima. Elimsu...
30Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Mwanasheria wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Januari Kitunsi wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kusitisha ndoa za utotoni...
30Apr 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Katika utekelezaji lengo hilo la kukusanya maduhuli, tayari wizara hiyo imekusanya kodi ya pango la ardhi ya Sh. bilioni 60. Aidha, wizara imeandaa mpango maalumu wa kusambaza hati za madai ya...
30Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Katika shindano lolote lazima awepo mshindi. Aliyebaki au waliobaki ni mshinde/washinde (mwenye/wenye kushindwa); anayekiri/wanaokiri kutofanikiwa katika jambo. Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyopewa...

mkuu wa mkoa wa mbeya, amos makalla.

30Apr 2016
Bosco Nyambege
Nipashe
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla a jana alipotembelea kituo cha mpaka wa Kasumulu na baadhi ya njia za panya zinazotumiwa na baadhi ya wafanyabiashara kukwepa kodi...

mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Sadick Meck Sadick.

30Apr 2016
Mary Mosha
Nipashe
Alisema hayo wakati alipokwenda wilayani humo kujitambulisha baada ya Rais John Magufuli, kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa. “Mimi sijaelewa hawa Kili Water wanafanya kazi na nani, wanakaguliwa...
30Apr 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Kwa sasa nawasiliana wanasheria wenzangu tuliokutana kwenye chuo kikuu cha Yaleyale Jürgen Mossack na Ramón Fonseca wa Mossack Fonseca company kutaka wamwage mtama mwingine hasa wenye majina ya...

cag, mussa assad.

30Apr 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Wizi mwingine wa fedha za umma hufanywa kwa kusaini mikataba inayonufaisha ‘majmbazi’ wachache na kuumiza umma, wengine huiba kupitia safari za nje zisizo na tija zikihusisha wapenzi hata familia zao...

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Harry Kitilya, akiwa na washitakiwa wengine wakirudi rumande: picha ya maktaba.

30Apr 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Baada ya Mahakama Kuu kuiitisha jalada la kesi yao kujipatia dola za Marekani milioni 6 (Sh. trilioni 1.3) kinyume cha sheria. Alhamisi iliyopita Hakimu Mkazi Mwandamizi, Emmilius Mchauru...

Zitto Kabwe.

30Apr 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Juzi Zitto alitaka Bunge liunde kamati teule kuichunguza benki hiyo kutokana na hati fungani hiyo ya dola za Marekani milioni 600. Zitto alitaka kamati hiyo iundwe ili nchi iache kutegemea taarifa...

Meya wa Kindondoni, Boniface Jacob akizungumza na wafanyabiashara ndogondogo jana katika soko la Simu 2000, Sinza: Picha mpoki bukuku.

30Apr 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Zoezi hilo lilimaanisha vigogo wa jiji waliokuwa wamejigawia vizimba hivyo kuondolewa. Juhudi za kuwaondoa machinga katika eneo la UBT zimekuwa zikifanyika mara kwa mara na kugonga mwamba kutokana...

rais mstaafu Jakaya Kikwete.

30Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kamishna wa Tume ya Maadili, Jaji mstaafu Salome Kaganda ameiambia Nipashe katika mahojiano maalumu katikati ya wiki kuwa Kikwete ameshawasilisha tamko la mali zake tangu aondoke madarakani Novemba 5...

IGP Ernest Mangu akimshukuru Rais John Magufuli kwa kufungua kikao cha kazi.

30Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
"OYSTERBAY (jijini Dar es Salaam) pale ni eneo ambalo ni very prime (lenye thamani kubwa), kila mmoja anajua, mmeingia kwenye mikataba mnayoijua nyinyi, akapewa mtu anayewajengea pale, sifahamu kama majengo hayo yanafaa"...
Mkataba kati ya Polisi na kampuni ya Lugumi umezua mjadala mkali nchini kiasi cha Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kuunda kamati ndogo kufanya uchunguzi kama ulitekeleza kama ilivyokuwa...

Pages