NDANI YA NIPASHE LEO

06Apr 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
***MC Alger waja na ndege ya kukodi, wabadili uwanja wa mechi ya marudiano ili...
Kwa kupata ushindi wa kuanzia mabao 2-0. Akizungumza na gazeti hili jana, Mzambia Lwandamina alisema matokeo ya sare yoyote au ushindi wa bao 1-0 utawaweka kwenye nafasi ya "hatari" ya kusonga...
06Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mgosi aliliambia gazeti hili jana kuwa endapo watapoteza mchezo huo unaofuata, tayari watakuwa wamejitoa kwenye mbio za kusaka ubingwa wa msimu wa 2016/17 ambao unatarajiwa kumalizika ifikapo Mei 20...
06Apr 2017
Said Hamdani
Nipashe
Kaimu Meneja wa TRA Mkoa wa Lindi, Masawa Masatu, alieleza jinsi mafuta hayo yalivyokamatwa alipokuwa akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Christopher Ngubiagai, alipotembelea ofisi ya...
06Apr 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini ‘A’, Hassan Ali Kombo, alisema wavuvi waliondokea Mtoni Mjini Unguja na kupata ajali hiyo juzi saa 4:00 asubuhi wakiwa katika shughuli zao za uvuvi. Hassan alisema...

Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Diego Gutierrez.

06Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kituo hicho cha miito kimetengenezwa ili kuwapatia wateja wa Tigo huduma ya daraja la juu duniani katika namna ambayo ni ya ufanisi na uhakika zaidi kutoka kwa mawakala wa huduma kwa wateja...
06Apr 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Hoja hizo ziliwasilishwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Victoria Nongwa, anayesikiliza kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Utetezi unadai kwamba hati ya...
06Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Watoto hao wa viongozi wa zamani na waasisi wa Taifa ni Makongoro Nyerere ambaye alipata kura 81 na Zainab Kawawa aliyeambulia kura 137 kati ya 334 za wabunge waliokuwa bungeni wakati wa uchaguzi...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

06Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya Bunge iliyotolewa Jumatatu na Ofisi ya Katibu wa Bunge, kikao cha leo ambacho ni cha tatu tangu kuanza kwa mkutano wa saba wa Bunge la 11, Waziri Mkuu atawasilisha...
06Apr 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Wakati mwingine hata watu wazima huwa wanalinyamazia na wengine kulipigia kelele, lakini bado hakuna mabadiliko yoyote. Hapa ninazungumzia tatizo la wanafunzi kuachwa kwenye vituo vya usafiri kila...
06Apr 2017
Mhariri
Nipashe
Majaji hao pia wamejadili suala la utawala bora na uongozi katika mahakama zote pamoja na vikwazo vilivyopo katika utendaji wao. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Ferdinand Wambali, alisema wanataka ...
06Apr 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, Tanzania ina idadi ya watu milioni 45, kati yao asilimia 44 ni wenye umri chini ya miaka 15. Dira ya Taifa inaweza kufikiwa tu ikiwa watoto...
06Apr 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Kadhalika, Jamhuri inatarajia kuwasilisha ripoti ya kifo cha mwanasheria huyo wakati wa usikilizwaji wa kesi hiyo itakapopangiwa tarehe Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam. Madai hayo yalitolewa...

Mkuu wa Kitengo cha Masoko katikaka benki ya DTB, Sylvester Bahati, akizungumza na waandishi wa habari jana jijini kutangaza faida kabla ya kodi ya sh. bilioni 30 katika mwaka wa biashara wa 2016. PICHA: MPIGAPICHA WETU

06Apr 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Katika taarifa yake, DTB imesema, kwa mwaka jana faida kabla ya kodi imeongezeka kutoka Sh. bilioni 27.3 kwa mwaka 2015 hadi Sh. bilioni 31. Amana za wateja za DTB, imesema, zimeongezeka kutoka Sh...
06Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Shein alionyesha kutofurahishwa na wizara hiyo kutofanyia kazi agizo lake katika ziara yake ya kutembelea miradi kisiwani Pemba. Dk. Shein hakuridhishwa na ujenzi wa Kituo cha Afya cha...
06Apr 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na Nipashe mjini hapa juzi, Rukia alisema baada ya kupata taarifa kuwa mwanafunzi wake amejitupa baharini, uongozi wa shule ulipata mshtuko mkubwa. Alisema msichana huyo mwenye umri wa...

Kamanda wa Polisi mkoani humu, Lazaro Mambosasa.

06Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Mmoja kati ya wabunge hao amelazimika kuwahishwa kwa ndege katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa matibabu zaidi. Wabunge waliokumbwa na ajali hiyo ni Aida Khenani, Viti...

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.

06Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alisema wameamua kuchukua hatua hiyo baada ya kile alichodai kuwa ni kupindishwa kulikofanywa ili kuwakwamisha wateule wao, Ezekiel Wenje na Laurence Masha....

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe.

06Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Asema tukio la uvamizi Clouds ni la jinai hivyo haliwezi kuachwa lipite tu...
Dk. Mwakyembe aliyasema hayo wakati wa mahojiano na Nipashe kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana, muda mfupi baada ya Spika wa Bunge kusitisha shughuli za chombo hicho cha kutunga sheria hadi...
05Apr 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Mgomo huo uliokuwa umeitishwa na Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo Mikoani (Taboa) kwa kushirikiana na Chama cha Wasafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam (Uwadar), uliahirishwa juzi baada ya vyama...
05Apr 2017
Mhariri
Nipashe
Eneo ambalo halijakaa sawa na linaonekana kuhitaji ushirikiano baina ya wadau na serikali ni la usafirishaji wa abiria barabarani. Kumekuwapo migongano baina ya wamiliki wa mabasi na wafanyakazi wao...

Pages