NDANI YA NIPASHE LEO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki.

03Apr 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Zuio hilo litakwenda sambamba na matumizi ya sheria ndogo za uhifadhi na usimamizi wa mazingira. Amri hiyo ilitangazwa juzi na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki, katika hotuba yake...

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Kili Fair inayoendesha maonyesho hayo, Tom Kunkler.

03Apr 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Maonyesho hayo pia yatatumika kuutangaza ipasavyo Mlima Kilimanjaro na kutoa elimu kwa wageni kutoka nchi mbalimbali duniani kuhusu fursa za kibiashara katika sekta ya utalii nchini. Akizungumza...
03Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa ripoti ya Bodi ya Pamba kuhusu maendeleo ya kilimo cha mkataba, mfumo huo umeboresha tija kwenye kilimo cha zao hilo kwa kuwawezesha wakulima kuongeza maeneo ya uzalishaji na kuongezeka...

Shule ya Sekondari New Kiomboi.

03Apr 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe
Wanafunzi hao kwa sasa wanatumia majengo mawili ya vyumba vya maabara vya shule hiyo. Mkuu wa shule hiyo, Lameck Ayeiko, alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki. Aidha, Ayeiko alisema...
03Apr 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Ili kufanikisha mpango huo, imesema inakusudia kuimarisha mfuko wa taifa wa maenedeleo na kutenga maeneo ya shughuli za ujasiriamali. Kadhalika, imesema imeziagiza halmashauri na manispaa zote...
03Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kabla ya upanuzi huo, chuo hicho chenye wanafunzi 1,046 kilikuwa na maktaba yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 43 kwa wakati mmoja. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa maktaba hiyo, Mkuu wa chuo...

WAZIRI wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi, Hamad Rashid Mohammed.

03Apr 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, mazao mengi yanayoibwa mashambani na kupelekwa sokoni kuuzwa, yanakuwa yahajakomaa kutumika kama chakula. Hamadi alieleza kuwa kwa sababu ya uchanga, ndio maana mazao mengi...
02Apr 2017
Gurian Adolf
Nipashe
Katika mvua hiyo iliyonyesha usiku wa manane kuamkia juzi, watu watano akiwamo mtoto wa chechekea walipoteza maisha, huku nyumba 30 zikibomoka na wanyama aina ya ngedere na nyani wasio na idadi...
02Apr 2017
Abdul Mitumba
Nipashe
Kuongeza ubunifu ili kushawishi watu wengi zaidi kujiunga na chombo hicho ili kutekeleza kwa vitendo kaulimbiu ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoielekeza Tanzania kuwa ya viwanda. Aidha, TCCIA...
01Apr 2017
Mohab Dominick
Nipashe
Wachimbaji hao wamedai kuwa wapo tayari kufanya kazi na mwekezaji halali aliyetambulishwa kwao na serikali ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Bismark hoteli, anayedaiwa kumiliki leseni ya utafiti katika...
01Apr 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Hayo yalisemwa na Meneja wa Shamba la Mbegu la Serikali (ASA), mkoa wa Arusha, Zadiel Mrinji, alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi ambao ni wataalamu wa uzalishaji wa mbegu bora...
01Apr 2017
Jaliwason Jasson
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana ofisini kwake, Kaimu Meneja wa Tanesco mkoani hapa, Mhandisi Michael Kidoto, alisema mwitikio wa taasisi kulipia huduma ya upatikanaji wa nishati ya umeme ni mzuri,...
01Apr 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Taarifa hiyo mbaya kwa madaktari waliojitokeza kuitikia wito wa kuchangamkia ajira zenye uhakika wa nyumba na mshahara wa kuvutia nchini Kenya ilisambaa jana baada ya uamuzi ulitolewa na Mahakama Kuu...
01Apr 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kwa kuanzia, tayari Serikali imeanza kazi ya kupitia sheria zote zinazohusiana na Katiba Mpya ili kuendelea na mchakato wa kuundwa kwa katiba mpya kuanzia pale ulipoishia. Waziri wa Katiba na...
01Apr 2017
Abdul Mitumba
Nipashe
Migogoro mingi isiyo na idadi imeripotiwa karibu kote nchini na tayari katika baadhi ya maeneo, mapigano yametokea na kusababisha vifo na watu wengi wakiachwa na vilema baada ya kujeruhiwa. Mwaka...
01Apr 2017
Grace Mwakalinga
Nipashe
Changamoto hiyo inahofiwa pia kuleta matokeo mabaya kutokana na shule hiyo kuwa mbali na vijiji wanavyoishi wanafunzi hao, hali inayowafanya kutembea umbali mrefu hadi kufika shule kila siku huku...
01Apr 2017
Abdul Mitumba
Nipashe
Zilizofanya vizuri kitaaluma Mkoa wa Dar es Salaam ikiwamo Zanaki kama shule ya mfano kwa kukarabati majengo yote ili kuinua ari ya wazazi kufuatilia maendeleo ya watoto wao na kuchangia elimu na...
01Apr 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Kutokana na kutaka kujua nini mkubwa, si yule dingi msaidizi namba mbili, ya walevi na kaya yao, si nikajikuta nikisikiliza mipasho ya dingi kwa mashakunaku na mashambenga wanaotaka amtoe mwanae wa...
01Apr 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Vitu hivyo vya asili vilikuwa ni kama utambulisho mzuri kwa jamii ya Kiafrika kwa mfano mavazi ya kiutamaduni, zana za uchongaji na ufumaji lakini hivi sasa vimeanza kutoweka kutokana na dunia...
01Apr 2017
Happy Severine
Nipashe
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Jonathan Shana, alisema tukio hilo lilitokea Machi 24, saa 2 usiku, bibi huyo inadaiwa kuwa alishirikiana na mtoto wake Faraja Misano (30) kuwafanyia ukatili huo...

Pages