NDANI YA NIPASHE LEO

Waziri wa Elimu, Prof.Joyce Ndalichako

21Jan 2016
Nipashe
Agizo hilo lilitolewa jana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako, wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa. Alisema pamoja na serikali kutoa siku saba...

Rais Dk Mohamed Shein na Maalim Seif Shariff Hamad

21Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Maalim Seif alijiondoa katika mazungumzo ya kutafuta maridhiano ya muafaka katika kamati iliyowajumuisha Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa...

rais john magufuli

20Jan 2016
Richard Makore
Nipashe
Ni magezi makubwa ambayo hakuna mtu aliyethubutu kuyadharau na wote waliokihama CCM walijiunga moja kwa moja na upinzani hususan Chadema
Ni mageuzi makubwa ambayo hakuna mtu aliyethubutu kuyadharau na wote waliokihama CCM walijiunga moja kwa moja na upinzani hususani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Hatua hiyo ya...

madiwani wa dar es salaam

20Jan 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Uchaguzi huo ulifanyika Jumamosi iliyopita kwa kufuata taratibu ambazo imekuwa zikitumika siku zote za kuwashirikisha wapigakura kata na majimbo husika husika bila kuhusisha wengine kutoka nje ya...

Wabunge wakiwa bungeni

20Jan 2016
Nipashe
Katika vikao hivyo, wananchi watapata fursa ya kuwashuhudia na kuwasikiliza Wabunge wakitoa na kuchangia hoja juu ya masuala mbalimbali pamoja na kuuliza maswali kuhusu kero zinazoihusu jamii....

Theo Walcott

20Jan 2016
Nipashe
Baada ya kutua kwenye klabu hiyo akiwa na umri mdogo na asiye na uzoefu wa kucheza michuano mikubwa, Walcott amejengwa na kuwa mmoja wa mawinga hatari barani Ulaya na sasa ni mchezaji muhimu ndani...

Lionel Messi na Christiano Ronaldo

20Jan 2016
Nipashe
*** Mreno huyo amesema alimsaidia hasimu wake huyo wa muda mrefu kutatua changamoto ya lugha na sasa anasubiri malipo.
Wawili hao wamekuwa mahasimu kwa muda mrefu kutokana na kuzidiana kete katika tuzo mbalimbali za soka, wakitinga fainali ya kusaka mataji nane yaliyopita ya Ballon d'Or. Lakini, akizungumzia...

WACHEZAJI WA SIMBA

20Jan 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Morocco alitua jijini Dar es Salaam wiki iliyopita kwa ajili ya mazungumzo ya mara ya pili na uongozi wa timu hiyo, lakini jana alilazimika kurejea Unguja kuendelea na shughuli zake. Kocha huyo...

Wachezaji wa Azam FC

20Jan 2016
Sanula Athanas
Nipashe
*** Ligi hiyo iliyoanzishwa 1965, leo inaingia katika raundi ya 15 ikihitimisha mzunguko wa kwanza msimu huu.
Mechi hiyo ya raundi ya 15 ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) itachezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni sawa na mechi nyingine nne za leo kukamilisha...

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana

20Jan 2016
Nipashe
Hatua hiyo imelenga kuhakikisha kwamba wapinzani wanakosa hoja za kuidhoofisha serikali bungeni. Wabunge wa vyama vya upinzani wamekuwa wakiibana serikali kwa kuikosoa na kufichua mianya yote ya...

BOMOABOMOA

20Jan 2016
Nipashe
*Yadaiwa mamia si wahusika, hujiegesha kwenye vibanda mchana, usiku wanayeyuka
Uchunguzi uliofanywa na Nipashe katika eneo la Mkwajuni, jijini Dar es Salaam, umebaini kuwa matapeli hao wamefikia hatua ya kujenga vibanda kwenye vifusi ambavyo serikali ilibomoa nyumba za...

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff.

20Jan 2016
Nipashe
Afanya kikao kizito cha siri Dar na Lowassa,viongozi Ukawa na kupanga mikakati
Mpaka sasa Maalimu Seif, Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein, marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi, Dk. Salmin Amour Juma, Amani Abeid Karume na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali...
19Jan 2016
Nipashe
Wananchi waliokumbwa na kadhia hiyo walipaaza sauti zao juu wakilalamikia kuvunjiwa nyumba zao, kwa kile walichodai kuwa hawakupewa taarifa yeyote mapema inayowataka kuhama eneo hilo na mamlaka...

Mkurugenzi Mkuu TMA, Dk. Agnes Kijazi, il

19Jan 2016
Mhariri
Nipashe
Mamlaka hiyo imeeleza kuwa zitanyesha mvua katika maeneo mbali mbali nchini huku mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Pwani, Morogoro na Zanzibar ikitarajiwa kuwa na vipindi vifupi vya mvua kubwa...

MBWANA SAMATTA

19Jan 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Kasongo alikaririwa na moja ya vituo vya redio vya jijini Dar es Salaam jana akieleza kuwa licha ya Samatta kuafikiana na Genk, mmiliki wa TP Mazembe, Moise Katumbi, bado anavutana na klabu hiyo hasa...

katibu mkuu yanga jonas Tiboroha

19Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
*** Tangu atue Jangwani Januari 2015, Tiboroha amedhibiti mianya ya ufujaji wa fedha za klabu hiyo kongwe nchini ...
Taarifa hizo zimeendelea kuzagaa huku moja ya sababu ya kutaka kung'olewa kwa msomi huyo mwenye Udaktari wa Falsafa (PhD) katika Michezo, ikielezwa ni kitendo chake cha kuziba 'mianya ' ya watu...

WANAFUNZI

19Jan 2016
Nipashe
Shule hiyo ambayo ipo chini ya Manispaa ya Sumbawanga imekuwa ikipokea fedha kutoka serikali kuu kwa ajili ya kujiendesha pamoja na gharama za kuwasafirisha watoto makwao wakati wa likizo na...

ISMAIL JUSSA

19Jan 2016
Nipashe
“Ni kweli kuna madhehebu mengi ya dini duniani, lakini kanisa katoliki ndilo lenye kiongozi mkuu duniani na ameonyesha uwezo mkubwa katika kupigania haki za binadamu na mabadiliko ya kiutawala kufanyika kwa njia ya amani.”
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa chama hicho, Ismail Jussa Ladhu, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana juu sababu za kumtaka kiongozi huyo mkuu wa kidini...

MKURUGENZI MKUU TAA, Suleiman Said Suleiman

19Jan 2016
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Lucas Mkondya, akizungumza na Nipashe alisema tukio hilo lilitokea jana saa 12:00 asubuhi wakati akiogelea katika ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Feri. Akielezea...

WAZIRI MKUU MSTAAFU, EDWARD LOWASSA

19Jan 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Aonya watakaochemka kutimuliwa kazi
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana baada ya kukutana na Mameya na Manaibu Meya wa Manispaa hizo ofisini kwake, Lowassa alisema kila watakachokifanya ni lazima kiwe cha...

Pages