NDANI YA NIPASHE LEO

25Mar 2017
Peter Mkwavila
Nipashe
Pombe hizo zenye thamani ya Sh. milioni 354.4 zimekamatwa zimehifadhiwa kwenye makasha 3,972 ndani ya ghala la wafanyabiashara wawili wanaomiliki kampuni ya Takawedo Investment iliyoko Kisasa,...

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge.

25Mar 2017
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Kutokana na kasi hiyo, amewataka viongozi wa mkoa kuhakikisha wanamalizia Sh. bilioni tatu kati ya Sh. bilioni tisa zilizotolewa kwa ajili ya miradi ya maji ili kupunguza tatizo la maji safi na...
25Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Inakutana nayo leo kwenye mchezo wa kirafiki wa FIFA, Samatta, Farid ndani
Stars itaingia kwenye Uwanja wa Taifa ikiwa na silaha zake hatari, nahodha Mbwana Samatta na Farid Mussa wanaocheza soka Ulaya. Akizungumzia mchezo wa leo, Kocha Mayanga, alisema wachezaji wake...
25Mar 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Nape aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kabla ya kuondolewa juzi na nafasi yake kutwaliwa na Dk. Harrison Mwakyembe, alikumbana na mkasa wa kutolewa bastola na mtu aliyedhaniwa...
24Mar 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Nape atishiwa kupigwa risasi ili asizungumze na wanahabari.
Nape alikumbana na mkasa huo kwenye eneo la Oysterbay, Kinondoni jijini Dar es Salaam alipofika eneo hilo kueleza msimamo wake baada ya kuondolewa katika nafasi ya uwaziri. Awali, saa chache kabla...
24Mar 2017
John Ngunge
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoani Manyara, Kamishna Msaidizi (ACP) Francis Massawe, akizungumza jana na waandishi wa habari, alisema watu hao walikamatwa mji mdogo wa Mirerani kwa nyakati tofauti. Alisema...

MKUU wa Mkoa wa Manyara, Dk. Joel Bendera.

24Mar 2017
Jaliwason Jasson
Nipashe
Agizo hilo alilitoa jana  katika uwanja wa Kwaraa mjini hapa, wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya maji. Alisema dunia inabadilika, hivyo jamii inatakiwa kutunza mazingira  ili kuendelea...
24Mar 2017
John Ngunge
Nipashe
Mkurugenzi wa Kampuni ya TanzaniteOne, Hussein Gonga, alisema lengo la kutoa msaada huo ni kuhakikisha wanaendeleza uhusiano mwema na jamii inayozunguka machimbo ya madini ya Tanzanite. Alisema...
24Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Mfanyabiashara huyo, alikamatwa juzi katika Kijiji cha Kisesa, Kata ya Vudee, Tarafa ya Mwembe Mbaga, wilayani hapa akiwa anaendelea na uzalishaji wa dawa hizo kwa kutumia kilimo cha umwagiliaji...
24Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Wilbrod Mutafungwa, alisema kati ya watuhumiwa hao yumo mpagazi Wilfred Mauga (31), maarufu rasta, mkazi wa Mount Meru Arusha, ambaye alimpigia simu mara ya...

gereza la Geita.

24Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Meja Jenerali Mstaafu, Ezekiel Kyunga, alisema hayo mbele ya Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Harisson Mwakyembe, ambaye sasa ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni...
24Mar 2017
Mohab Dominick
Nipashe
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Nipashe mjini hapa juzi, baadhi wa vijana wa mjini Kahama walisema kitendo cha serikali kupiga marufukuru pombe hiyo kumewasaidia kubadili tabia, ikiwamo...
24Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Matukio hayo yanahusisha majambazi kuvamia makazi ya raia na kuwapora mali kwa kutumia silaha na wakati mwingine kusababisha mauaji. Moja ya matukio ya karibuni ni la mauaji lililotokea usiku wa...
24Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Alitaja baadhi ya sababu za hatua hiyo, kuwa ni pamoja na kuwapo kwa wimbi la uporaji wa pikipiki jijini, hasa katika maeneo ya Chanika, Kigamboni na Kinyerezi. Kimsingi sababu zilizotajwa na...

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa.

24Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli, pamoja na mambo mengine, imechukua hatua kadhaa kuhakikisha taifa linapiga hatua kiuchumi ikiwamo kuimarisha miundombinu, kupambana na...

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa.

24Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema lengo la makubaliano hayo ni kurahisisha muingiliano wa watu na bidhaa. Pia amesema viongozi hao wamekubaliana kufungua fursa za kiuchumi baina ya nchi hizo pamoja na kuweka utaratibu wa...
24Mar 2017
Peter Orwa
Nipashe
Daktari anayeongoza Benki ya Dunia, aliyepandishwa ‘mwendokasi’ na JPM
Pia, ni ugeni uliotanguliwa na mazungumzo maalumu Ikulu, ambayo Rais Dk. Magufuli anajigamba kwamba umewajengea uswahiba na hasa katika kipengele, kinachowaunganisha; wote wamezaliwa mwaka mmoja,...

jiji la mwanza.

24Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
L Wageni wanachangamkia fursa za nyumbani
Ukiwa ndani ya Mwanza, ni rahisi kufika Entebbe, Uganda, kiasi cha safari ya dakika 30 tu kwa usafiri wa ndege, huku ikichukua dakika 45 kutua Kigali, Rwanda na huenda ukalazimika kutumia dakika 60...
24Mar 2017
Denis Maringo
Nipashe
Itokeapo mfanyabiashara akatulia, kujenga fikra zenye ubunifu na hatimaye kutengeneza tangazo lenye mvuto na ushawishi katika kile akiuzacho, basi fursa za kujiongezea pato zinaongezeka kwa sababu...

Devota Likokola

24Mar 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Mwasisi wa Vikoba aliyebeba neno la kuwasogeza tena wanachama wake
Vikoba vimekuwa vikichezwa katika makundi mbalimbali na hivi sasa, hata wanaume wamekuwa wakijiunga navyo. Awali vilipoanza, ilionekana kuwa ni mchezo wa wanawake pekee. Hata hivyo, unamjua...

Pages