NDANI YA NIPASHE LEO

17Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mafunzo hayo yatakayodumu kwa muda wa wiki moja yanayotegemea kuanza kesho chini ya makocha wa timu za taifa za vijana, yatashirikisha wachezaji nyota 65 kutoka katika mikoa mbalimbali iliyoshiriki...

KIPA bora wa michuano ya Kombe la Mapinduzi, Aishi Manula.

17Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Azam FC itashuka dimbani kesho Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kumenyana na Mbeya City kwenye mfululizo wa Ligi Kuu na Manula aliyedaka mechi tano za Kombe la Mapinduzi bila kufungwa...
17Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Tafca Kinondoni, Boniface Wambura alisema jana kuwa ajenda za kawaida za kikatiba zitajadiliwa na kwamba mkutano huo utaoongozwa na Mwenyekiti wake, Eliutery Mholery...

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.

17Jan 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Alitoa agizo hilo jana wakati akizindua Bodi Mpya ya Tantrade wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika ofisi zao zilizopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Pia...

Alhaji Abdallah Bulembo akisalimiana na rais john magufuli.

17Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, wabunge walioteuliwa ni Alhaji Abdallah Bulembo na Profesa wa Sheria Palamagamba Kabudi. Bulembo ni baba wa...
17Jan 2017
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Wamesema hatua hiyo itasaidia kupunguza makali ya Sh. bilioni 12 ambazo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Ruvuma imepangiwa kukusanya mwaka huu kutoka kwa wafanyabiashara. Ombi hilo...
16Jan 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde, alisema licha ya udanganyifu huo watahiniwa hao wataruhusiwa kurudia mitihani hiyo....
16Jan 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Hali hiyo imejidhihirisha tena kwa wanafunzi waliofanya mtihani wa upimaji wa taifa wa darasa la nne Novemba 23 na 24, mwaka jana baada ya kufaulu somo hilo kwa kiwango cha chini. Akitangaza...
16Jan 2017
Nebart Msokwa
Nipashe
Mabadiliko hayo, imeelezwa, ni mkakati wa kukabiliana na changamoto ya uhaba wa madarasa kwa wanafunzi zaidi ya 200 wa kidato cha kwanza ambao wanakabiliwa na hatari ya kuchelewa kuanza masomo....
16Jan 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Aidha, katika mtihani huo uliofanyika kuanzia Novemba 14 hadi 25, mwaka jana, kuna wasichana tisa katika orodha ya wanafunzi 10 kwa ufaulu. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta),...

Balozi Seif Ali Iddi.

16Jan 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Alisema wembe huo ndiyo silaha pekee itayosaidia kusafisha virusi na wagombea wa makundi ambao wanaweza kuleta madhara na kuzorotesha umoja na mshikamano kwa wanachama wake kama ilivyotokea katika...

Pierre-Emerick Aubameyang.

16Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwenye mechi ya ufunguzi ya michuano ya Mataifa ya Afrika dhidi ya Guinea-Bissau, wenyeji hao walishindwa kuulinda ushindi huo hadi mwisho wa mchezo na kujikuta wakizomewa vilivyo na mashabiki wao...
16Jan 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Azam imeingia fainali mara tatu na zote imelichukua. Kwa upande wa Simba, ilikuwa ni fainali yao ya tano, ikichukua mara tatu na mara mbili kulikosa. Tangu michuano hiyo ianzishwe mwaka 2004, ni...
16Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Pongezi kwa kiungo Himid Mao aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 12 kwa shuti kali la umbali wa mita 25 baada ya kupokea pasi ya kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’. Baada ya pasi ya Sure Boy, Himid...

MTANZANIA Alphonce Simbu.

16Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mashindano hayo yanajulikana kama 'Standard Chartered Mumbai Marathon' yanafanyika kila mwaka Jumapili ya tatu ya mwezi Januari katika Jiji la Mumbai, India na yanaaminika kuwa ni mbio kubwa kabisa...

BEKI wa Yanga, Vincent Bossou.

16Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Togo na Ivory watamenyana saa 1:00 usiku Uwanja wa d'Oyem, kabla ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kumenyana na Morocco saa 4:00 usiku katika mchezo wa pili wa kundi hilo. Bruce Kangwa wa...
16Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
***Viongozi Msimbazi wakiri, timu ikielekea Morogoro huku...
Habari ambazo Nipashe ilizipata kutoka Simba jana zinaeleza kuwa Blagnon anakwenda kwao, Ivory Coast kushughulikia visa haraka ili aende Oman kufanyiwa vipimo vya afya tayari kujiunga na Fanja....
16Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Msafara wa timu hiyo ambao wametumia basi lao kusafiri, ulikutana na umati wa mashabiki wilayani Tunduru ambao walikuwa na shauku ya kutaka kuwaona wachezaji wa timu hiyo. Mashabiki hao walizuia...
16Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wamesema kitendo cha manispaa hiyo kutaka kuvunja vibanda vyao na kuwaondoa katika eneo hilo bila kuwaeleza sehemu ya kuwapeleka, kinaweza kuzuia vurugu na hivyo kuiomba serikali kuingilia kati ili...
16Jan 2017
Ashton Balaigwa
Nipashe
Wananchi hao walifika katika mkutano huo, wanadaiwa kufanya ubadhilifu wa fedha za michango ya ujenzi wa shule ya sekondari katika eneo hilo kiasi cha Shilingi milioni tatu na kusababisha kukwama kwa...

Pages