NDANI YA NIPASHE LEO

16Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakulima wa viazi mkoani hapa waliwaambia waandishi habari jana kuwa kuwapo kwa mradi huo toka Sagcot, umewasaidia kutoka katika kilimo cha mazoea na kuingia kwenye...
16Jan 2017
Mhariri
Nipashe
Ukanda wa Afrika Mashariki, majirani zetu Uganda, wanashiriki kwa mara ya kwanza ikiwa ni zaidi ya miaka 30 iliyopita. Tanzania tumeendelea kuwa wafuatiliaji wa michuano hiyo kwenye televisheni,...
16Jan 2017
Samson Chacha
Nipashe
Dede alikiri kupokea Sh. 300,000 kutoka kwa wateja 15 kila mmoja aliombwa na kutoa Sh. 20,000. Malipo hayo ni mbali na kulipia Sh. 27,000 za awali Shirika la Umeme nchini (Taneco) wilayani kwa...
16Jan 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Kinyume chake wengi wameshuhudia uwezo mkubwa wa waamuzi wa Zanzibar kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi lililomalizika Ijumaa iliyopita na Azam FC kutwaa ubingwa. Hii ni tofauti na Ligi Kuu ya...
16Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Yanga ilifungwa mabao 4-0 na Azam katika mchezo wa mwisho wa Kundi B kabla ya kwenda kufungwa kwa penalti 4-2 na Simba kwenye hatua ya nusu fainali baada ya kushuhudiwa dakika 90 zikimalizika bila...
16Jan 2017
George Tarimo
Nipashe
Kwa mujibu wa walimu hao, utaratibu wa malipo ya posho hizo umebadilishwa kutoka ule wa kawaida wa kulipa posho kwa kuzingatia viwango vya mishahara kwa kila mshiriki na badala yake zinalipwa kwa...
16Jan 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza mwishoni mwa wiki katika sherehe ya kuwatunuku vyeti askari Magereza waliohitimu mafunzo ya kuingia katika Kikosi Maalum, Mwigulu alisema nchi ina wafungwa wengi waliojazana magerezani...
14Jan 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Mbali ya kwamba ni kampuni ya mfukoni, pia imebainika kuwa taarifa za awali zilionyesha inajihusisha na uuzaji wa vifaa vya ujenzi. Ufisadi wa kampuni hiyo inayodaiwa kuingia mitini licha ya...

Mkurugenzi wa uwanja huo, Paul Rwegasha akimwonesha athari zilizotokea waziri Profesa Makame mbarawa.

14Jan 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Moto huo ulianza kuwaka katika chumba cha kuhifadhia mizigo katika uwanja huo majira ya saa 6:00 usiku. Mkurugenzi wa uwanja huo, Paul Rwegasha, aliiambia Nipashe kuwa moto huo ulianza kuwaka...

Rais John Magufuli.

14Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais Magufuli alitoa onyo hilo wakati akikagua na kufungua Kiwanda cha Jambo cha kuzalisha vinywaji baridi mkoani Shinyanga, taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ilisema. Rais Magufuli...
14Jan 2017
Owden Kyambile
Nipashe
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kifaa maalumu cha kuvutia samaki kwenye kina kirefu cha bahari (FAD) katika Chuo cha Uvuvi cha Mbegani, Bagamoyo mapema wiki hii, Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi,...
14Jan 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Gugu karoti ambalo pia hujulikana kwa jina la parthernium limekuwa na madhara mengi kwa watu na mifugo na kuwa tishio nchini hasa mkoani hapa. Wito huo ulitolewa na mtafiti wa wadudu wa mimea...
14Jan 2017
Abdul Mitumba
Nipashe
Tayari tani 10 za mbegu za alizeti zimeandaliwa ili kusambazwa wilayani humo na taasisi ya LSD na sasa wakulima wanasubiri mvua inyeshe ili waanze kupanda. Mratibu Mshawishi wa Mpango wa kubadili...
14Jan 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Nimekumbuka mpendwa wangu marehemu Escrow aliyetujaza minjuluku hadi tukasahau kuwa kuna siku kutakuwa na ukapa na ukata baada ya mchezo wa kupiga madili kuuawa na maadili kufungwa kwa makufukuli na...
14Jan 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Viwanda hivyo vikiwamo Urafiki, Mutex, Sunguratex na Mwatex vilivyokuwa vinazalisha khanga na vitenge vilitumia zaidi ya tani 30,000 za pamba inayozalishwa nchini kwa mwaka. Si hivyo tu, viliongoza...
14Jan 2017
Happy Severine
Nipashe
Simiyu iliyoundwa kwa kumega maeneo ya mikoa ya Mwanza na Shinyanga, ulianzishwa pamoja na Geita ambayo awali ilikuwa wilaya ya mkoa wa Mwanza, nao umeundwa kwa kumega maeneo ya Mwanza, Kagera na...
14Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Droo ya kupanga makundi hayo ilifanyika juzi usiku kwenye jiji la Libvreville nchini Gabon. Jumla ya makundi 12 yameundwa yakiwa na timu nne nne huku Tanzania ikionekana kuwa katika kundi gumu...
14Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
baada ya kutolewa kwa leseni hiyo, winga huyo wa Azam anayecheza kwa mkopo kwenye klabu ya Deportivo Tenerife ameanza kazi rasmi ya kuitumikia timu yake hiyo. Akizungumza na Nipashe jana kwa simu...
14Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Yanga imepanga kuondoka mapema kuelekea Songea kwa ajili ya mchezo huo na Lwandamina amepanga kuanza kwa ushindi kwenye mchezo huo. Akizungumza na Nipashe jana, Lwandamina , alisema kuwa michuano...
14Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Taifa Stars imepangwa Kundi L kufuzu AFCON mwaka 2019 nchini Cameroon pamoja na timu za Uganda, Cape Verde na Lesotho katika droo iliyopangwa juzi usiku mjini Libvreville, Gabon, zinapofanyika...

Pages