NDANI YA NIPASHE LEO

19Jan 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza jana kwa njia ya simu wakiwa njiani kurejea Dar es Salaam, Niyonzima alisema mipango waliyokuwa wakiipanga kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Majimaji mjini Songea ilikuwa...
19Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa mtandao wa 'Soka 25east.com' wa Uganda, Okwi amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na uongozi wa klabu hiyo baada ya kutopata nafasi ya kutosha kuichezea tangu alipojiunga nayo mwaka...
19Jan 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Jingine linalosisitizwa ni namna ambavyo halmashauri zinasimamia mamlaka husika za tiba zinazotoa huduma kwa wagonjwa wake. Miongoni mwa maagizo makuu ni kwa hospitali zote za wilaya zifungwe...
19Jan 2017
Nipashe
Hapo ina maana ni chakula kilicho na kiasi sahihi na uwiano wa vyakula vinavyohitajika ili kudumisha afya. Ndiyo maana inasisitizwa kula mlo ulio na virutubisho vyote, yaani wenye mafuta, protini...
19Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Huo ni utaalamu mpya ulioibuliwa na wanasayansi wa Uingereza na sasa inatarajiwa pindi itapokamilika, itatumika kufuatilia namna mtu anavyokula na viini lishe vilivyomo mwilini mwake. Hivi sasa...
19Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wapo watu wengi wasioufahamu ugonjwa huo hatari. Wanadhani kwamba, labda ini ndio linapata homa au mgonjwa huyo wa homa ya ini, anakuwa kila wakati ana homa. Hivi kwani unafahamu homa ya ini ni...
19Jan 2017
Nebart Msokwa
Nipashe
Mbali na mtoto huyo (jina limehifadhiwa), pia watu wengine wawili wanashikiliwa na polisi wakidaiwa kukutwa na gramu 125 za dawa hizo za kulevya aina ya bangi. Taarifa ya Jeshi la Polisi kwa...
19Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Duka hilo limegharimu Sh. milioni 55 litakalohudumia mikoa mitatu ya Kigoma, Katavi na Tabora. Pia duka hilo litatoa huduma kwa vituo vya kutolea huduma za afya 580 ikiwa ni pamoja na hospitali za...
19Jan 2017
Mhariri
Nipashe
Kwa mujibu wa habari hiyo, tukio hilo la fedheha, tunasema Nipashe, lilitokea eneo hilo la Mwanga; kutokana na kupishana kauli baina ya PC na Sajini wa Kikosi cha Usalama Barabarani. Polisi hao...
19Jan 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Si kwa maisha ya kawaida, hata katika utendaji wa kazi katika nyanja mbalimbali, mambo yamekuwa yakibadilika kila siku. Nataka kuzungumzia katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, nako huko mambo...

KAIMU Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Hamis Juma.

19Jan 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Aidha, Jaji Prof. Juma amesema atahakikisha kesi zote katika mahakama zinasajiliwa kwa mfumo wa kielektroniki ili kwenda sambamba na maendeleo ya sasa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama)...
19Jan 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Mbele ya Hakimu Mkazi, Nestory Barro, Lema na Neema walikana mashtaka ya kutuma ujumbe mfupi wa simu ya mkononi wenye matusi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. Haijawahi kutokea Mbunge...

Mwenyekiti wa Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart, Stanley Kevela.

19Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart, Stanley Kevela, wakati akizungumzia maendeleo ya operesheni ya kuwasaka waliotorosha makontena...
18Jan 2017
Rose Jacob
Nipashe
Azungumzia kukamatwa kwa Lowassa Geita, kesi za jinai dhidi ya viongozi wa Chadema zimo
Aidha, Mbowe amedai chombo hicho cha dola kimekuwa kikitumika kukihujumu chama hicho kinachoshika nafasi ya pili kwa wingi wa wabunge bungeni, baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mbowe alitoa...
18Jan 2017
Joctan Ngelly
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Sajenti Jozibeti alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 10:30 jioni kwenye eneo hilo la Mwanga; kutokana na kupishana kauli na askari mwenzake huyo. Sajenti Jozibert...
18Jan 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Pande hizo mbili ule unaomuunga mkono Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad na ule unaomuunga mkono Lipumba na kusababisha chama kuwaganyika na haijulikani ni lini mwafaka utapatikana ili CUF ilirudi...
18Jan 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe
Januari 11, mwaka huu alitoa hotuba yenye msisimko kiasi cha kusababisha baadhi ya waliokuwa wakimsikiliza kumwaga machozi kama ishara kwamba wataendelea kukumbuka utumishi wake. Mwenyewe...

Mohammed Seif Khatib.

18Jan 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Mapinduzi hayo yaliasisiwa na wananchi mbalimbali wa Zanzibar akiwemo rais wa kwanza wa Zanzibar hayati Abeid Amani Karume ili Wazanzibari waweze kupata uhuru wao. Tangu mwaka 1964, mapinduzi hayo...

Katibu Mkuu UN, Guterres.

18Jan 2017
Owden Kyambile
Nipashe
Kuwa Kamishina wa UNHCR Guterres alipata fursa ya kuliongoza shirika moja maalumu la kimataifa lililokuwa linahudumia wakimbizi duniani, na wakati anamaliza muda wake wa utumishi katika shirika...

Leodgar Tenga.

18Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tenga, ambaye ni Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), ameteuliwa na Kamati ya Caf kuwania nafasi hiyo pamoja na wajumbe wengine kutoka Zambia na Ghana. Akizungumza na kituo kimoja...

Pages