NDANI YA NIPASHE LEO

Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo.

25May 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa jana na Wajumjbe wa Baraza la Wawakilishi (BLW) Zanzibar walipokuwa wakichangia hotuba ya Bajeti ya SMZ kwa mwaka wa fedha 2016/2017, mjini Zanzibar jana. Mwakilishi wa...

raia wa China, Guan Yang maarufu kama Malikia wa Pembe za Ndovu

25May 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Pia mshtakiwa huyo anakabiliwa na kuwezesha fedha kwenye biashara ya vipande 706 vya meno ya tembo vyenye thamani ya Sh. bilioni 5.4. Mbali na Yang, washtakiwa wengine ni mfanyabiashara Salivius...

malikia Elizabeth wa Uingereza

25May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana, kufuatia kutunukiwa tuzo hiyo, Dk. Iftikhar Ahmad Ayaz, amepanda daraja kutoka OBE na kuwa KBE (Hababi) katika...

Kamanda wa Polisi mkoani Lindi, Renatha Mzinga

25May 2016
Said Hamdani
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi mkoani Lindi, Renatha Mzinga, tukio hilo lilitokea Mei 16, mwaka huu saa 9:00 usiku. Kamanda Mzinga alifafanua kuwa watu hao wanaosadikiwa kuwa ni...

Baadhi ya wananchi wa Zanzibari wakiwa katika foleni kwa ajili ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana. PICHA: MAKTABA

25May 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Umoja unaohitajika kwa Wazanzibar sasa umeondoka kutokana na mihemko ya kisiasa, hali iliyosababisha ubaguzi miongoni mwao. Ubaguzi huo umezidi kushika kasi baada ya tume ya uchaguzi Zanzibar...

wabunge

25May 2016
Restuta James
Nipashe
Rasimu ya pili ya Katiba ambayo ilitolewa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba, miongoni mwa vipengele muhimu vilivyokuwamo ni elimu ya mbunge isipungue...

Katibu Mkuu CCM, Abdulrahman Kinana

25May 2016
Restuta James
Nipashe
Katika kauli hiyo aliyoitoa Jumamosi iliyopita, hakuficha azma yake ya kupeperusha bendera ya Chadema kwa mara ya pili kuwania kiti hicho, huku akijiamini kwamba hana shaka ya kuibuka na ushindi...

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana

25May 2016
Restuta James
Nipashe
Majukumu yake yanajumuisha mambo kama utekelezaji wa maamuzi na maagizo yanayohusu chama, ubunifu na usimamizi wa uendeshaji wa shughuli za kila siku katika kufikia malengo ya taasisi husika. Kwa...
25May 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Viongozi waadilifu na waaminifu wa nchi kadhaa za Afrika akiwamo Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere, walisaini makubaliano ya kuanzishwa kwake, wakati huo ikiwa ni Taasisi ya Umoja wa...

kilimo cha ufuta.

25May 2016
Christina Haule
Nipashe
Ofisa mazao wa wilaya hiyo, Revocatus Ngusa, alisema hayo wakati wa mafunzo kwa vikundi vinavyojishughulisha na kilimo cha mazao hayo yaliyiyofanyika wilayani humo. Alisema wakijituma kulima mazao...
25May 2016
Lulu George
Nipashe
Akizungumza katika mahojiano na Nipashe, Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Daudi Mayeji, alisema vyumba hivyo vitajengwa kwenye kwenye vituo vya kupokelea samaki. Aidha, alisema kutaanzishwa ukusanyaji...

Mkuu wa Kitengo cha Matibabu ya Moyo. Dk. Peter Kisenge

25May 2016
Romana Mallya
Nipashe
Upasuaji huo ni wa kwanza kufanyika Afrika Mashariki na Kati, hivyo kuifanya taasisi hiyo kuvunja rekodi hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Kitengo cha...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne

25May 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kadhalika, Kamati hiyo imeishauri serikali kuimarisha kitengo cha intelijensia cha kupambana na ujangili kwa kukipatia vifaa vya kisasa ikiwa ni pamoja na kutumia ndege zisizo na rubani. Akisoma...

naibu mkurugenzi wa upelelezi na Makosa ya jinai wa Jeshi la polisi zanzibar, Salum Msangi

25May 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari visiwani hapa, naibu mkurugenzi wa upelelezi na Makosa ya jinai wa Jeshi hilo, Salum Msangi alisema kuwa viongozi wakuu wa CUF wamekuwa wakiwatuma wafuasi wao...

MKUU wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa

25May 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Galawa aliyasema hayo jana baada ya kufungua kongamano wa wadau wa kilimo kujadili matokeo ya utafiti yaliyoonyesha kushamiri kwa pambejeo bandia katika wilaya za Momba na Mbozi mkoani humo....
25May 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Sina uthibitisho kwa sababu hakuna taarifa za vipimo zilizoonyesha kwamba alilewa, kwa maana hiyo siwezi kusema alilewa kwa sababu sikumshuhudia akinywa, bali ninachojua ni taarifa kutenguliwa kwake...
25May 2016
Mhariri
Nipashe
Matukio hayo ya mauaji, watu kumwagiwa tindikali na ya imani za kishirikina yakekuwa yakitokea kila uchao katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mwanza. Katika toleo letu la jana, tuliripoti tukio la...

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mbunge wa Simanjiro , James Ole Millya (kulia)

25May 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kampuni hiyo inamiliki mgodi wa Tanzanite One. Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson, alitangaza uamuzi huo bungeni jana asubuhi, kutokana na ombi la Waziri Mhagama. Mei 20, mwaka huu, wakati...
25May 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Hatua hiyo imesababisha serikali kuongeza boti tatu, ambazo zitafanya kazi ya kutafuta boti hiyo pamoja na watu waliokuwamo. Wakati msako wa boti hiyo ukiendelea, majina ya waliokuwamo katika...

waziri wa maliaasili Profesa jumanne Maghembe

25May 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Akiwasilisha maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii bungeni mjini hapa jana, Msemaji wa kambi hiyo katika wizara hiyo, Esther Matiko...

Pages