NDANI YA NIPASHE LEO

01Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Pande hizo mbili zikishirikiana katika suala hilo, uwezekano wa kuwasaidia watoto kuwa na maendeleo mazuri katika masomo yao ni mkubwa. Pamoja na umuhimu huo, lakini kumekuwapo uzembe kwa baadhi...
01Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Rais John Magufuli, kwa mara ya kwanza atakuwa Mwenyekiti wa mkutano huo wa 17 utakaohudhuriwa na Marais Yoweri Museveni wa Uganda, Pierre Nkuruzinza wa Burundi, Paul Kagame, wa Rwanda na Uhuru...
01Mar 2016
Restuta James
Nipashe
Pamoja na mambo mengine, ripoti hiyo ilieleza kuwa karibu nusu ya Watanzania wote yaani watu 18 hawapati maji safi; katika nchi ambayo inautitiri wa vyanzo vya maji. Ripoti ilifafanua kuwa...

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe

01Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kabwe alitoa agizo hilo wakati akihutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika jana katika uwanja wa Community Center, eneo la Mwanga katika manispaa hiyo. “Watoto wetu hawasomi na...

Waziri wa Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa

01Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Kutokana na hali hiyo, serikali iko katika mkakati wa kufufua na kuboresha reli zote ili mizigo mikubwa inayotoka bandarini isafirishwe kupitia njia hiyo na kupunguza uharibifu wa barabara....

MSANII mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Dudubaya

01Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dudubaya anadai yeye ndiye 'Mamba' na amekuwa akilitumia jina hilo tangu mwaka 2007 na sasa analitumia pia katika biashara zake mbalimbali anazofanya. "Imeniudhi sana Shetta kutumia jina langu la...

Nay wa Mitego

01Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Wiki iliyopita msanii huyo alivunjiwa kioo cha gari lake na watu wasiojulikana wakati akienda kutambulisha video ya ya wimbo wake mpya wa 'Shika Adabu Yako' kwenye kipindi televisheni. Kupitia...

Vicent Kigosi 'Ray'

01Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakati Nay wa Mitego amemchana 'laivu' msanii huyo wa filamu katika wimbo wake wa 'Shika Adabu Yako' akidai kuwa anatumia 'mpunga' mwingi kununua mkorogo, msanii chipukizi Baraka Andrew 'Baraka Da...

HAFISA Kazinja

01Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Msanii huyo alisema jana kuwa hawezi kuweka wazi jina la wimbo wake mpya kwa sasa akihofia kuibiwa ubunifu. "Ninajiandaa kwenda studio kurekodi wimbo wangu mpya, kwa sasa siwezi kuutaja kwa jina,...

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Maji Matitu

01Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Maana iliyopo ni kwamba jamii inatambua na kuthamini suala la elimu na ndio maana inaihimiza serikali kuhakikisha inatoa elimu bora na siyo bora elimu. Jingine ambalo ni sehemu ya maudhui ya hata...

Mwalimu Janet Magufuli

01Mar 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Inaelezwa kwamba ni mara ya tatu kwa tafsiri alishawahi kusoma, kufundisha na safari hii alikuwa mgeni rasmi. Katika safari yake hiyo, usoni alionyesha wazi kwamba anahuzunika kuiacha sehemu ambayo...
01Mar 2016
Yasmine Protace
Nipashe
Ukweli wa mafunzo hayo ambayo kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1960 jeshi hilo lilipoanzishwa hadi mwaka 1992, vijana wanaopata mafunzo ya mwaka mmoja au zaidi baada ya kidato cha nne, walilazimika...
01Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Herry John ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Kilimanjaro Creameries. Hatua zinazochukuliwa na Shirika la Viwango Tanzania za kufungua ofisi zake kila mkoa nchini, sisi kama wamiliki wa kampuni ya...

WACHEAJI WA SIMBA

01Mar 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Mganda huyo aliyerithi mikoba ya Mwingereza Dylan Kerr Januari 10, bado anaamini Simba ina nafasi ya kuzipiku Azam na Yanga katika mbio za ubingwa wa ligi ya Bara msimu huu.
Simba ambayo haijatwaa ubingwa wa Ligi Kuu kwa miaka minne, juzi ilishinda 5-1 dhidi ya timu hiyo ya Ligi Daraja la Pili (SDL) kwenye Uwanja wa Taifa na kutinga robo-fainali ya Kombe la Shirikisho...

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Walipa kodi, Richard Kayombo,

01Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Operesheni hiyo iliendeshwa kutokana na kilio cha muda mrefu cha wasanii nchini kuibiwa kazi zao na baadhi ya wafanyabiashara wanaojipatia fedha kwa kuuza kazi za wasanii isivyo halali. Mkurugenzi...

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Augustine Mahiga

01Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wito huo ulitolewa juzi na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi, Dk. Augustine Mahiga, wakati wa uzinduzi wa kituo cha kwanza cha mpaka wa pamoja kati...
01Mar 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, wakulima hao walisema wamejitahidi kulima na kupata mazao mengi lakini wamekosa soko hivyo kusababisha matunda hao kuharibika. Mmoja wa wakulima hao, Prince...

Uunguaji wa mabweni kama hili umetokea katika shule ye Sekondari Iyunga

01Mar 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
Tukio hilo lilitokea jana saa 3:00 asubuhi, wakati wanafunzi wakiwa madarasani. Moto huo unaosadikika kuwa ulisababishwa na hitilafu ya umeme, ulizuka katika bweni la Mkwawa na kuteketeza mali...

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Edwin Ngonyani (kulia),akisaini kitabu cha wageni

01Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini cha Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ilieleza kuwa Ngonyani alitoa agizo hilo alipofanya ziara katika taasisi zilizo...

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu

01Mar 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Mahakama hiyo imesema madai kwamba ilitoa zuio la uchaguzi huo ni ya uongo na kwamba, zuio lake lilikuwa la uchaguzi uliopangwa awali kufanyika Februari 8, mwaka huu, ambalo baadaye lilifutwa baada...

Pages