06Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe
Hivyo, amewataka kuacha tabia ya kulindana badala yake wawaweke hadharani wale wote wanaofanya ubadhirifu wa mali za kampuni hiyo.
Dk. Chamuriho alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam mbele ya...
06Feb 2016
Nipashe
Ben Pol. Amayetamba kwa aina hiyo ya muziki, alisikika hivi karibuni akisema hayo yote yatatimia ifikapo Mei mwaka huu, hivyo mashabiki wake wakae tayari kupokea ujio huo.
“Watu wategemee albamu...
06Feb 2016
Nipashe
Akizungumza hivi karibuni, Mpoto, mkali hiyo wa mashairi yenye utata, alisema Tanzania bado haijanufaika na kazi za kitamaduni, hivyo anahitajika mtu atakayefanya kazi ya kuitangaza kimataifa.
“Mimi...
06Feb 2016
Nipashe
Mwanasheria Mkuu wa NECM, Heche Suguta, na wenzake watatu walisimamishwa kazi na Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira mwezi uliopita. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya NEMC ambazo...
06Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Kampuni hiyo ya uwakili inadaiwa irejeshe Sh milioni 21 za mjane Brigitte Ringia na watoto wake watatu ambao ni Warren David Lyimo (16), Davina David Lyimo 5 na Noah David (7), fedha ambazo ni sehemu...
06Feb 2016
Nipashe
Alisema kibao hicho alichomshirikisha Diamond Platnumz, ulimfungulia njia ya kupata fedha na kujulikana na watanzania.
Pamoja na umaarufu huo, alijikuta akiingia katika wakati mgumu kutokana na...
06Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe
Taarifa za uhakika zinasema kwa Manispaa za Temeke na Ilala pekee mpaka juzi zimeaandikisha watoto 53,555, kitu ambacho hakijawahi kutokea tangu Uhuru.
Manispaa ya Temeke inaongoza kwa kuwa na...
06Feb 2016
Nipashe
Akizungumza hivi karibuni katika kipindi cha Planet Bongo kinachorishw na EATV, Shilole, alisema hakuna mafanikio yanayokuja bila jasho, lazima kila mtu kuwajibika kama anataka kuwa juu kimuziki....
06Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Ole Nasha aliyasema hayo jana bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa Urambo, Margaret Sitta (CCM).
Mbunge huyo alitaka kujua kama serikali ina mpango wa kupanga bei ya tumbaku ili...
06Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
*** Timu hiyo ya Chamazi italianza duru la pili la ligi ya Bara msimu huu keshokutwa ikiwa na rekodi nzuri ya kutopoteza mechi hata moja katika duru la kwanza.
Timu hiyo ya Chamazi haikucheza mechi zote mbili zilizopita za duru la pili la ligi hiyo dhidi ya Tanzania Prisons na Stand United baada ya kuwa imealikwa Zambia kushiriki michuano maalum ya timu nne...
06Feb 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Mgeni kwa muktadha huu, ilikuwa Yanga iliyosafiri kutoka Dar es Salaam kupimana ubavu na Coastal Union, maarufu kwa jina la ‘Wagosi wa Kaya.’
Kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Taifa...
06Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Tamko hilo lilitolewa jana Bungeni na Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma (CCM).
Mbunge huyo alitaka kujua...
06Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Timu hiyo inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ilijihakikisha kushiriki Ligi Kuu msimu wa 2016/17 baada ya Jumapili kushinda 2-1 ugenini dhidi ya Lipuli FC mkoani Iringa.
Ushindi huo...
06Feb 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Kutumikia adhabu ya kifungo cha nje na kufanya usafi katika maeneo ya kijamii, ikiwemo Hospitali ya Sinza Palestina ya jijini.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya jana jopo la mawakili wa utetezi...
06Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Hali hiyo upelekea kuchelewesha majalada ya mashtaka ya kesi mbalimbali, zikiwamo kubwa za ufisadi unaoligharimu taifa mabilioni ya fedha.
Akizungumza na Nipashe mwishoni kwa wiki jijini Dar es...
06Feb 2016
Nipashe
Maguli, mchezaji wa zamani wa Ruvu Shooting na Simba, alitua Misri mwezi uliopita kwa idhini ya uongozi wa Stand, lakini Liewing hakuwa na taarifa za kuondoka kwa nyota huyo aliyetisha kwa mabao duru...
06Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Mwaijage alisema hayo jana bunge wakati akijibu swali la mbunge wa jimbo la Mtambile (CUF), Masoud Salim ambaye alitaka kujua ajira iliyokuwa inatarajiwa kuongezeka kutokana na ukuaji wa sekta ya...
05Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Taarifa iliyotolewa na TMA imeeleza kuwa kuna uwezekano wa kuwapo kwa upepo mkali unaozidi kasi ya kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2.0 wakati wowote kuanzia jana.
Maeneo...
05Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
**Timu hiyo ya Jangwani imeambulia pointi moja tu katika mechi zote mbili zilizopita za duru la pili la ligi ya Bara.
Timu hiyo ambayo iliuanza vibaya mzunguko wa pili wa ligi hiyo msimu huu kwa kufungwa 2-0 na kuandikisha kipigo cha kwanza dhidi ya Coastal Union tangu 2007, imeendelea kusuasua katika mbio za...
05Feb 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Kadhalika ameagiza kesi 26 za kukutwa na nyara za serikali yakiwamo meno na pembe za ndovu ambazo watuhumiwa wanadaiwa kukutwa na vilelezo moja kwa moja, Jeshi la Polisi na Mkurugenzi wa Mashitaka...